ads

Sunday, March 11, 2018

MOTO WAKATISHA UHAI WA FAMILIA YA WATU WANNE

Watu wa nne wa familia moja wamefariki dunia baada ya moto kuteketeza nyumba yao.
        Tukio hilo limetokea katika kijiji cha mangwira,kata ya Bwilingu wilayani chalinze.
 Chanzo cha moto akijajulikana Ingawa imeelezewa kulikuwa na tatizo la umeme kuwaka na kuzima
Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani,Jonathan shanna amethibitisha tukio hilo akiahidi kutoa taarifa zaidi badae

No comments:

Post a Comment