ads

Friday, March 30, 2018

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 30.03.2018: Isco ameendelea kutafutwa, Robert Lewandowski naye anaitaka Madrid

Manchester City wanaamini wanaweza kusaini makataba na mchezaji wa kiungo cha kati wa Real Madrid Mhispania Isco msimu huu wa majira ya joto. Mkataba kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 unaweza kuwa wa thamani ya Euro milioni 75. (Mirror)
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Ubelgiji Mousa Dembele, mwenye umri wa miaka 30, hatasaini makataba mpya na Tottenham kabla ya Kombe la Dunia la mwaka huu, na hivyo kuibua maswali kuhusu mustakabali wake katika klabu hiyo. (Telegraph)
Mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski, mwenye umri wa miaka 29, atawasilisha maombi yake ya kutaka kuhamia Real Madrid msimu huu wa majira ya joto. Mchezaji wa Chelsea mwenye umri wa miaka 25 na mchezaji wa kimataifa wa Uhispania Alvaro Morata ni mmoja wa washambuliaji ambao Bayern Munich inamtaka kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Pole iwapo watampoteza. (AS - in Spanish)
Winga wa Crystal Palace Andros TownsendHaki miliki ya pichaHUW EVANS PICTURE AGENCY
Image captionWinga wa Crystal Palace Andros Townsend anasema kuwasaidia Eagles kuepuka kushuka daraja ni suala analolipa kipaumbele zaidi.
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Paris St-Germain midfielder Hatem Ben Arfa ametangaza kuwa ataondoka katika Ligi kuu ya Ufaransa mwisho wa msimu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31, raia wa Ufaransa, amekuwa na uhusiano na Leicester City. (Sun)
Meneja wa Watford Javi Gracia amemkosoa Abdoulaye Doucoure, mwenye umri wa miaka 25, kwa kukataa kuhama katika msimu huu wa majira ya joto, huku Manchester United Tottenham, Liverpool na Arsenal kwa pamoja wakimthamanisha mchezaji huyo wa kiungo cha kati kwa kiwango cha Euro milioni 40. (Mail)
Mmiliki wa Newcastle United Mike AshleyHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMmiliki wa Newcastle United Mike Ashley ataanza mkakati wake wa kuuza klabu hiyo
West Ham wana imani ya kusaini mkataba na nahodha wa timu ya Urusi Fyodor Smolov. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28, anayechezea klabu yake ya soka ya Krasnodar, anaweza kuhama kwa malipo ya Euro milioni £15m. (Mirror)
Mmiliki wa Newcastle United Mike Ashley ataanza mkakati wake wa kuuza klabu hiyo mara tu watakapohakikishiwa kwamba watafanikiwa kusalia Ligi ya Premia. (Telegraph)
Ligi ya Premia inatarajia kuanza kujaribu kupunguza idadi ya waamuzi katika mchakato wa video ya usaidizi wa maamuzi ya marefarii (VAR), badala ya kutegemea video rasmi bila kumuhusisha mtu yeyote. (Times)
Rhian Brewster
Image captionKijana Rhian Brewster mchezaji wa timu ya England ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17 anasakwa na timu za Ligi ya Primia na nyingine
Manchester United imeanzisha msimu wa kupunguza gharama za tiketi za kuangalia michezo yake kwa vijana wenye umri wa miaka 16 hadi 25 kwa lengo la kuboresha uwepo wa watazamaji katika Old Trafford. (Telegraph)
Liverpool itaanzisha mazungumzo na kijana wa kikosi cha England kilichochukua kombe la dunia la vijana walio chini ya umri wa miaka 17 Rhian Brewster. Klabu mbali mbali za Ligi ya Primia na nyingine zimeonyesha nia ya kumtaka na mkataba wake wa sasa unamalizika katika msimu wa majira ya joto. (Sun)
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola amekosolewa na daktari wa zamani wa Bayern Munich, ambaye anasema kuwa anaweka mbele mafanikio mbele zaidi ya afya ya wachezaji. (Mail)
Winga wa Crystal Palace Andros TownsendHaki miliki ya pichaHUW EVANS PICTURE AGENCY
Image captionWinga wa Crystal Palace Andros Townsend anasema kuwasaidia Eagles kuepuka kushuka daraja ni suala analolipa kipaumbele zaidi.
Meneja wa timu ya Ubelgiji Roberto Martinez amemuonya mchezaji wa safu ya ulinzi ya Tottenham Toby Alderweireld mwenye umri wa miaka 29, kwamba nafasi yake katika kikosi cha Kombe la dunia imo mashakani ataendelea kutopendelewa na Mauricio Pochettino. (Guardian)
Winga wa Crystal Palace Andros Townsend, mwenye umri wa miaka 26, anasema kwamba licha ya kwamba ananuia kurejeshwa na England , kuwasaidia Eagles kuepuka kushuka daraja ni suala analolipa kipaumbele zaidi. (Mirror)
Meneja wa Cardiff City Neil Warnock amejipapatia jina la mtu wenye roho nyepesi, akiongeza kuwa: "Ninalia sana ninapotazama kipindi cha televisheni cha - I watch Call the Midwife." (Mail)
Lee Bowyer anasema alikuwa mshindani sana kama mchezaji wakati fulani lakini anataka sana kujulikana kama meneja anayewajali wachezaji Charlton. (Express)
Mchezaji wa safu ya kati wa Arsenal mFaransa Laurent Koscielny, mwenye umri wa miaka 31, ameanza kufanya yoga kwa ajili ya kurefusha muda wake kama mchezaji wa kulipwa. (Sun)

Wakongo hawana hamu na Samatta, Msuva

MIONGONI mwa wachezaji wa Taifa Stars waliomtia hofu Kocha wa timu ya taifa ya Congo DR, Florent Ibenge ni Simon Msuva na Mbwana Samatta.
Katika mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia mechi hiyo Ibenge aliwataja kama wachezaji hatari na kauli hiyo aliithibitisha tena juzi baada ya Stars kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Alisema wachezaji hao muda wote walikuwa wakisumbua kwa sababu wana kasi ya hatari na walifanikiwa kuwashambulia mara kwa mara langoni kwao.
“Samatta na Msuva walikuwa wako vizuri walicheza kwa kasi ya haraka na kufanikiwa kutushambulia,” alisema na kuongeza kuwa walikuja kwa matumaini ya kushinda mchezo huo lakini mambo yamekwenda tofauti na matarajio hayo.
Pia, aliipongeza Stars kwa kuonesha kiwango bora na kusema walistahili ushindi kwa kuwa walicheza vizuri.
Wakati Kocha huyo akiwataja wachezaji hao, Kocha Msaidizi wa Stars, Hemed Morocco alimtaja Shizza Kichuya kuwa ni mchezaji mzuri mwenye kiwango cha hali ya juu. Kichuya alitoa pasi ya bao la kwanza lililofungwa na Samatta huku bao la pili akifunga yeye baada ya kupata pasi ya Samatta.
Kuhusu mchezo: Morocco alisema “Namshukuru Mungu tumemaliza mechi salama, ilikuwa mechi moja nzuri ya kiufundi, kila timu ilijaribu kushambulia, tulikuwa na mikakati nafikiri tumeweza kufanikiwa”.
Alisema wapinzani walikuwa wanaonekana wana mbinu nzuri za kiufundi lakini tayari walijua hawawezi kukimbia ni wazito sana hivyo wakatumia mapungufu hayo kuwakimbiza na kupata matokeo.
Pia, aliisifu safu yake ya ulinzi kwa kucheza vizuri na kwa nidhamu ya hali ya juu. Kwa upande wa Kongo, Nahodha Wilfred Moke alisema sababu ya kufanya vibaya ni kwa vile hawakupata nafasi ya kufanya maandalizi ya mchezo kwani walijiandaa kimazoezi kwa dakika 20 wakati walikuwa na siku mbili za kujiandaa.
“Naomba Shirikisho letu la soka lifanye kitu kutusaidia kufanya vizuri katika michezo yetu ijayo, kitendo cha kutofanya maandalizi ya kutosha ni makosa makubwa sana,” alisema

Mkude amvuruga kocha Simba

INGAWA sasa Jonas Mkude amepata nafuu na anatarajia kuendelea na kazi kama kawaida, lakini ishu ya kiungo huyo kuumia akiwa mazoezini na kukimbizwa hospitali ilimvuruga kocha wa Simba, Pierre Lechantre.
Lechantre raia wa Ufaransa alisema kuwa alipomuona Mkude ameumia akilalamika na kuwahishwa hospitali alianza kukuna kichwa juu ya majaliwa ya timu hiyo kwenye eneo la kiungo kuelekea katika michezo iliyosalia.
“Haikuwa kitu rahisi kukishuhudia, Mkude ni moja ya wachezaji muhimu hapa kikosini, anacheza vizuri eneo la kiungo hivyo kuumia kwake ilinishtua kuelekea katika mechi zilizosalia lakini afadhali sasa anaendelea vizuri na ataungana nasi mazoezini muda si mrefu,” alisema Lechantre.
Mkude alipata majeraha ya kifundo cha mguu juzi baada ya kugongana na Mzamiru Yassin wakiwa mazoezini ambapo kutokana na majeraha hayo ilibidi awahishwe hospitali.
“Wachezaji wengine nao kina Mbonde (Salim) na Niyonzima (Haruna) nao wanaendelea vizuri, wamekuwa wakikimbia wenyewe wakiendelea na programu zao lakini nimepewa taarifa na daktari kuwa baada ya kama wiki moja watakuwa tayari kuungana na wenzao katika mazoezi ya kitimu,” alisema Lechantre.
Simba inajiandaa na mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Njombe Mji utakaopigwa Njombe Aprili 3, mwaka huu inaendelea na mazoezi yake kwenye Uwanja wa Boko, Dar es Salaam

Utatu wa Samatta, Msuva, Kichuya wanoga Stars

ULE utatu wa washambuliaji watatu uliotengenezwa kwenye timu ya taifa, Taifa Stars baina ya Mbwana Samatta, Simon Msuva na Shizza Kichuya umeonekana kuzaa matunda kutokana na wanachokifanya wachezaji hao.
Hilo limedhihirika katika michezo miwili ya timu hiyo ya kirafiki ya kimataifa iliyopigwa hivi karibuni dhidi ya Algeria mjini Algiers na ule wa DR Congo uliochezwa Dar es Salaam juzi. Katika mechi ya Algeria licha ya kufungwa mabao 4-1 lakini utatu huo ulionekana kujipambanua kila wakati kuisumbua ngome ya ulinzi ya Algeria.
Stars katika mechi hiyo bao lake lilifungwa na Msuva akipokea kona safi iliyochongwa na Kichuya.
Pamoja na bao hilo lililopatikana kwa juhudi za wachezaji hao wawili lakini utatu huo ulionekana vizuri katika mechi ya Congo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambapo Stars ilishinda kwa mabao mawili na yote yalipatikana baada ya kugongeana vizuri kwa wachezaji hao watatu.
Bao la kwanza lilipatikana baada ya Msuva anayeichezea Difaa el Jadida ya Morocco kuumiliki vizuri mpira mbele ya mabeki watatu kabla ya kumpasia Kichuya pembezoni mwa uwanja ambaye alipiga krosi safi iliyotua kwa Samatta anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji aliyeunganisha wavuni mpira huo kwa kichwa.
Kama kawaida, bado la pili lilipatikana tena kwa Msuva kuukokota mpira kutoka katikati ya uwanja na kumpasia Samatta aliyemchungulia Kichuya na kumpa pasi nje ya 18 kabla ya winga huyo anayeichezea Simba kuachia shuti kali nje ya 18 lililomzidi maarifa kipa wa Congo, Ley Matampi na kutinga wavuni. Kutokana na ushindi huo, kocha msaidizi wa Stars, Hemed Morocco alisema kwa kifupi:

“Kiwango kizuri kilichooneshwa na wachezaji wetu, ukiangalia safu ya ushambuliaji ilipambana sana. Nidhamu ilikuwa kubwa zaidi ukilinganisha na mchezo uliopita na ndiyo imekuwa matunda ya kilichotokea.”

Safari za ATCL anga za Ulaya, Asia zanukia

MALENGO ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ya kutaka kufanya safari za bara la Ulaya, Asia na Marekani, yako mbioni kutimia kutokana na ujio wa ndege ya kisasa aina ya 787 Dreamliner, inayotarajiwa kuwasili Julai mwaka huu.
Hatua hiyo itafanya shirika hilo la ndege kutoa huduma ipasavyo katika sekta ya anga na kukamata soko kwenye nchi za Afrika Mashariki, ambalo kwa sasa imeshikiliwa na nchi za Ethiopia, Kenya na Rwanda.
Makamu wa Rais wa Mauzo katika Kampuni ya Ndege ya Latin Amerika, Afrika na Visiwa vya Caribbean, Van Rex Gallard alithitisha kuwa Tanzania imetoa oda ya ndege moja ya 787-8 Dreamliner, yenye thamani ya dola za Marekani milioni 224.6 na itaendeshwa na ATCL.
Hivi karibuni, Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi alisema wanatarajia kuanza Safari za Ulaya, Asia na Marekani katika kipindi kifupi na ndege hizo ni imara kufikia lengo hilo.
Alisema Tanzania ilitia saini makubaliano na kampuni ya Bombardier Commercial Aircraft ya kununua ndege mbili aina ya Bombardier Q400 Julai mwaka 2016 na miezi mitano baadaye walisaini kununua Boeing 787-8 Dreamliner. Matindi alisema Bombardier C300s, zitatumia kufungua safari za usafiri wa anga katika kanda sita za Kusini na Magharibi mwa Afrika, kwa lengo la kupata masoko hayo.
“Tuna lengo la kukamata masoko ya Afrika Kusini, Zambia na Zimbabwe na baadaye kufika nchi za Afrika Magharibi za Ghana na Nigeria pamoja na kutumia ndege ya Dreamliner katika safari za kimataifa za China na India na baadaye kufuatiwa na kwenda bara za Ulaya katika awamu ya pili,” alisema.
ATCL inatarajia kupata cheti kutoka taasisi ya kimataifa ya ukaguzi wa usalama na viwango kwa mashirika ya ndege duniani IOSA, kabla ya Juni mwaka huu, hali itakayowezesha kushirikiana kibiashara na watoa huduma wengine ili kuongeza mapato kupitia makubaliano ya hisa.
Miaka miwili iliyopita, Tanzania ilianza mkakati wa kufufua shirika hilo la ndege la serikali kwa kuweka mikakati mbalimbali.
Katika programu hiyo waliweka mikakati ya kununua ndege mpya sita kati ya mwaka 2016 hadi 2018, kulipa madeni na kuongeza mtaji na kukuza na kuendesha biashara kwa njia za kisasa.

Kwa sasa, licha ya kuanza kusaka ofisi katika nchi mbalimbali, ATCL imetangaza ajira mpya 88 zikiwemo za wahudumu katika ndege

Serikali kufumua mfumo shehena bandarini

SERIKALI imeanza maandalizi ya kutengeneza Mfumo wa Pamoja wa Kielektroniki wa Uondoshaji Shehena Bandarini, Viwanja vya Ndege vya Kimataifa na Mipakani kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na ufanisi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa wakuu wa taasisi za serikali, wanaohusika na udhibiti wa mizigo katika maeneo hayo na wadau wa sekta binafsi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Charles Kichere amesema lengo la kuwashirikisha wakuu hao ni kujenga uelewa wa pamoja wa utekelezaji wa mfumo huo.
"Uwepo wenu katika mkutano huu ni muhimu sana kwa sababu mtaweza kupitia mahitaji yote ya mfumo yaliyoandaliwa na wataalamu wetu ikiwa ni pamoja na maeneo ya kisheria, kiufundi na kibiashara ili muweze kuuboresha zaidi," amesema Kichere.
Kichere amesema, uwepo wa wakuu hao na wadau wa sekta binafsi katika mkutano huo ni kiashiria cha kuunga mkono azma ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kujenga mazingira bora ya kufanya biashara ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Amesema, Serikali imelenga kuwawezesha wadau wote wanaohusika na biashara za kimataifa na usafirishaji wa mizigo kutumia Mfumo wa Pamoja wa Kielektroniki wa Uondoshaji Shehena, kwa lengo la kuwezesha uwasilishaji wa nyaraka mahali pamoja ili wadau wote waweze kushughulikia nyaraka hizo kwa wakati.
Mratibu wa Mfumo huo kutoka TRA, Felix Tinka ametaja faida za mfumo huo kuwa ni kurahisisha na kuwezesha biashara, kuongeza ufanisi wa matumizi bora ya rasilimali na kuongeza uhiari wa ulipaji ushuru na tozo mbalimbali kwa waingizaji na waondoshaji wa mizigo.
"Mfumo huu una faida nyingi, mbali na hizo nilizozitaja awali, pia kuna kuimarisha usalama, kuimarisha uadilifu na uwazi katika utendaji kazi, kupunguza biashara haramu, kupunguza gharama, kupunguza muda wa uondoshaji mizigo katika vituo vya forodha pamoja na kurahisisha ufuatiliaji wa mizigo kwa wakati," amesema Tinka.

Utekelezaji wa Mfumo huo umegawanyika katika maeneo makuu matano ambayo ni eneo la usimamizi wa mapato, uwezeshaji wa usafiri na uchukuzi, utekelezaji wa sera na biashara, na usimamizi wa afya na usalama wa umma, usalama wa uchumi pamoja na ugawaji

Mtuhumiwa aliyenyonga mke, atiwa mbaroni

POLISI mkoani Katavi inamshikilia mwanamume mwenye umri wa miaka 45, akituhumiwa kumuua kikatili mkewe, kwa kumnyonga kisha kuchimba shimo na kufukia mwili wake katika tukio la miezi mitatu iliyopita.
Inadaiwa kuwa mwanamume huyo, mkazi wa Kijiji cha Songambele Kata ya Simbwesa mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Tanganyika Mkoa wa Katavi, alitenda unyama huo huku mwanawe mdogo wa miaka mitano akishuhudia.
Inadaiwa alifanya hivyo, akimtuhumu mkewe mwenye umri wa miaka 31 kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi, Damas Nyanda hakuwa tayari kutaja majina ya mtuhumiwa huyo, akidai ni kwa sababu za upelelezi wa kipolisi. Akisimulia mkasa huo, Kamanda Nyanda alisema mwili wa marehemu huyo, uligundulika saa sita mchana juzi katika Kijiji cha Songambele ukiwa umefukiwa shimoni, baada ya kufukiwa miezi mitatu iliyopita.
"Upelelezi wa awali wa kipolisi umebaini kuwa marehemu huyo aliuawa na kufukiwa shimoni humo Januari 15, mwaka huu, baada ya kushambuliwa na mumewe kwa kupigwa na mpini wa jembe na kucharazwa viboko kisha akamnyonga. “Mume alikuwa akimtuhumu mkewe huyo kuwa ni malaya aliyekubuhu na wakati akimfanyia ukatili huo mkewe, mtoto wao wa kiume mwenye umri wa miaka mitano alikuwa katika eneo hilo la tukio akishuhudia kila kitu kilichofanyika,” alisema Kamanda Nyanda.
Inadaiwa kuwa baada ya kufanya mauaji hayo, mwanamume huyo alirejea nyumbani na kuendelea na maisha yake kama kawaida, huku akimtishia mara kwa mara mtoto wake kuwa akivujisha siri hiyo, atakiona cha mtema kuni. Pia alimuelekeza kuwa akiulizwa, aseme kuwa mama yake amesafiri .

Alisema jeshi la polisi lilimtia nguvuni mwanamume huyo juzi na baada ya mahojiano alikiri kufanya mauaji hayo. Alisema yupo tayari kwenda kuwaonesha polisi, alipomfukia mkewe. "Aliwaongoza polisi katika eneo la tukio ambapo alifukua udongo na mwili wa mkewe ulikutwa ukiwa umeshaharibika, na kwa sasa umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Manispaa ya Mpanda, mjini Mpanda
POLISI mkoani Katavi inamshikilia mwanamume mwenye umri wa miaka 45, akituhumiwa kumuua mkewe kwa kumchinja kisha kuchimba shimo na kufukia mwili. 
Inadaiwa kuwa mwanamume huyo, mkazi wa Kijiji cha Songambele Kata ya Simbwesa mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Tanganyika Mkoa wa Katavi, alitenda unyama huo miezi mitatu iliyopita huku mwanawe mdogo wa miaka mitano akishuhudia.
Inadaiwa alifanya hivyo, akimtuhumu mkewe mwenye umri wa miaka 31 kuwa ni malaya aliyekubuhu. Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi, Damas Nyanda hakuwa tayari kutaja majina ya mtuhumiwa huyo, akidai ni kwa sababu za upelelezi wa kipolisi.
Akisimulia mkasa huo, Kamanda Nyanda alisema mwili wa marehemu huyo, uligundulika saa sita mchana juzi katika Kijiji cha Songambele ukiwa umefukiwa shimoni, baada ya kufukiwa miezi mitatu iliyopita.
"Upelelezi wa awali wa kipolisi umebaini kuwa marehemu huyo aliuawa na kufukiwa shimoni humo Januari 15, mwaka huu, baada ya kushambuliwa na mumewe kwa kupigwa na mpini wa jembe na kucharazwa viboko kisha akamnyonga.
“Mume alikuwa akimtuhumu mkewe huyo kuwa ni malaya aliyekubuhu na wakati akimfanyia ukatili huo mkewe, mtoto wao wa kiume mwenye umri wa miaka mitano alikuwa katika eneo hilo la tukio akishuhudia kila kitu kilichofanyika,” amesema Kamanda Nyanda.
Inadaiwa kuwa baada ya kufanya mauaji hayo, mwanamume huyo alirejea nyumbani na kuendelea na maisha yake kama kawaida, huku akimtishia mara kwa mara mtoto wake kuwa akivujisha siri hiyo, atakiona cha mtema kuni. Pia alimuelekeza kuwa akiulizwa, aseme kuwa mama yake amesafiri.
Amesema jeshi la polisi lilimtia nguvuni mwanamume huyo juzi na baada ya mahojiano alikiri kufanya mauaji hayo na alikuwa tayari kwenda kuwaonesha polisi alipomfukia mkewe.

Aliwaongoza polisi katika eneo la tukio ambapo alifukua udongo na mwili wa mkewe ulikutwa ukiwa umeshaharibika, na kwa sasa umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Manispaa ya Mpanda, mjini Mpanda

Wasanii Roma Mkatoliki, Pretty Kind watolewa 'kifungoni'

WASANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ibrahim Musa, maarufu kama 'Roma Mkatoliki' na Suzan Michael 'Pretty Kind' wamesamehewa adhabu ya kutojihusisha na muziki kwa miezi sita waliyokuwa wanatumikia baada ya kukiri makosa na kuomba msamaha.
Wasanii hao walifugiwa kutojihusisha na masuala ya sanaa na Serikali baada ya kufanya kazi zilizo kinyume maadili ya taifa. Tofauti na msanii Pretty Kind ambaye ameruhusiwa kuendelea na kazi yake ya muziki baada ya kuwa amekamilisha taratibu zote ikiwamo kujisajili BASATA, Roma yeye ametakiwa kukamilisha kujisajili ili apate cheti cha utambulisho kama msanii.
Aidha, mwanamuziki huyo mahiri wa muziki wa kughani amevitaka vituo vya redio na luninga kutoendelea kuupiga wimbo wa Kibamia ambao ndiyo hasa ulimuingiza matatani kutokana na maudhui yake.

Katika kikao cha walichokaa wasanii hao, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe, Naibu Waziri, Juliana Shonza, wajumbe wa bodi ya filamu na chama cha wanamuziki wa Bongofleva, Roma alitakiwa kuurudia wimbo huo na kuusahihisha ndipo uendelee kuchezwa kwenye vituo vya redio na luninga. Kwa upande wake Waziri Mwakyembe ameagiza wasanii kuzingatia maadili ya taifa Katika kazi zao. Pia amewakumbusha wasanii kujisajili BASATA ili watambulike

Wednesday, March 28, 2018

How To Start a Blog – Beginner’s Guide for 2018

  So, you want to start a bloghuh? Great idea!
But…how the heck do you get started? There’s so much info out there on the web, and everyone’s telling you to do different things. Who do you listen to? Where’s the starting point?
Damnit, maybe you should just forget it – it’s too confusing!
Well, hold up. I used to be a blogging newbie too. I had the same problems. I started my blog (BloggingBasics101.com) way back in 2006, and I knew less than nothing about blogging. In fact it was only the week before I’d learnt what a blog was.
Now I know a ton about them, and my blog’s doing pretty well – I receive more than 300,000 unique visitors per month which makes me consider myself someone you could listen to and learn from when it comes to building your own blog. I’m not some sort of Guru, but I certainly do know the basics.
I promise it’ll be simple, relatively easy, and definitely easy to understand (no stupid jargon). Sound good?
Awesome, let’s move on.

Why you should create a blog and join the blogging community

So below, I’m going to outline exactly what you need to do to get started and set up your own personal blog. Before we dive in though, I really want to talk about WHY you should build a blog.
Note: If you already have a solid idea of the whys, then skip this and go right ahead with the guide.
  1. Blogging has quickly become one of the most popular ways of communicating and spreading information and news. There are literally millions of blogs online (don’t worry, you can make yours stand out and get noticed!).
  2. It’s a great way to express yourself and also a fantastic way to share information with others.
  3. You become a better person and a better writer.
  4. The best reason? You can make money doing it!
I bet you already knew all of that, but it’s nice to be reminded.
One very last thing before we get started:
Creating your own blog can take a little while, probably up to 30 minutes. So grab yourself a coffee or juice (whatever you fancy) and let’s get stuck in. If you need any help during the set-up process, get in touch with me here and I’ll help as best I can and answer any questions you might have).

Disclosure: This guide to starting your own blog contains some affiliate links. If you purchase a service through one of these links I may earn a small commission, this is at no extra cost to you.

The Steps Covered In This Blogging Guide

It’s nowhere near as difficult as setting up a website from scratch (there’s very little technical ability needed here). In fact, there’s no coding required by you. Good news, huh?
So, we made it. Phew. Better late than never! So, without further ado, let’s jump into step 1.

Step 1 – Choose your preferred blogging platform

Choosing where you want to build blog is pretty much the first thing you have to do. I’m going to take a leap and assume you’ve heard of WordPress, and this is the platform I advocate. It’s massive.
It’s by far one of the biggest blogging platforms in the world, with countless plugins and add-ons and almost infinite ways to design and layout your blog.
There are more than 82 million active users of WordPress = a lot, basically.
wordpress
There are other alternatives however, and they are listed below:
  • Blogger – Definitely the next best thing to WordPress.
  • Tumblr – Half social network, half blog. Interesting, and very simple to use.
Even though WordPress is bigger (and probably better) than those two, here are my reasons why you should still go with WordPress:
  1. Super easy set-up and is free to use
  2. Tons of free themes and layouts (I’m not kidding, there’s gazillions).
  3. There’s a massive support forum in case you get stuck (you won’t, but it’s nice to have it there if you need it).
  4. Your blog will be insanely fast and it’ll also look Functionality andform – perfect!
  5. People can interact with you easily. Your content can be shared, commented on, and so on.
Here’s an article about different blogging platforms (including WordPress), give it a read:
How to Choose a Blogging Platform – (updated for 2018)
Now, Step 2 (see, we’re moving fast now!)

Step 2 – Self-hosting or a free alternative?

Whoa, slow down there! This is the biggest decision you’ll have to make before we go any further. You need to decide whether to pay for your blog or grab a free one.
WordPress, Tumblr and Blogger all offer free blogs for anyone. Awesome, right? It’s perfect for those of us who aren’t super serious about blogging. But it does have downsides:
1) You won’t be able to get your OWN domain name
On a free blog, your blog’s web address (your URL) will be butt-ugly. Like, really ugly. In short, create a free blog with any other the above free blog services and it’ll look like this:
  • yourblog.wordpress.com
  • yourblog.blogspot.com
  • yourblog.tumblr.com
I know, ugly right?
2) Limits and more limits
There are some limits to free blogs. You can’t fully monetize it, and you don’t have the possibility to upload all those videos and images you want to show everyone – it’s all limited. Worse still, you won’t even have access to the free themes offered by WordPress.
3) You DON’T OWN your blog
It might sound silly at first, but you don’t actually own your blog. It’s hosted on someone else’s web property and they can delete it if they want so. They have done so in the past, and keep doing it in the future. Which means all your hard work on your blog, all those countless hours of writing blog posts might be vanished within seconds. Sad…
On the other hand, with a self-hosted blog on your own domain name – you are the REAL owner of your blog. You’ll be able to name your blog whatever you want, for example “YourName.com” or “YourAwesomeBlog.com. You can end it with .com, .co.uk, .net, .org, or virtually any other web suffix. Add to that unlimited bandwidth for videos, images and content plus the free themes and you have a winning combo.
So how much is hosting and a domain name? Not as much as you’re thinking, fortunately. It usually works out to about $5 to $10 per month, depending on your hosting provider which is less than a couple of coffees.
If you still have questions, here’s some further information for you to look at:

Step 3 – Start a blog on your own domain (if you chose self-hosting and a custom domain)

wordpress blogging platform
I’m going to push ahead based on the premise you’ve chosen WordPress, and if you haven’t, you should.Seriously, it’s the best.
If you’re still a little confused by what a self-hosted blog is, allow me to explain and how you can go about setting one up for yourself.
You’ll need to come up with a domain name you like and also choose a hosting company that can host your blog.
  • Domain: The domain is basically the URL of your website. Examples: google.com (Google.com is the domain), Facebook.com (Facebook.com is the domain). See? Simple!
  • Hosting: Hosting is basically the company that puts your website up on the internet so everyone else can see it. Everything will be saved on there. Think of it as a computer hard-drive on the internet where your blog will be saved.
Personally, I use iPage (for my blog domain and hosting), and I’ve got nothing but good things to say about it. It’s probably one of the cheapest (less than $2.50 per month) hosting providers out there. A domain name will cost around $10-15 a year, but with iPage they throw that in for free :). Big smiles for that! They’re the providers I use for all of my blogs, including the one you’re reading right now.
If for any reason you don’t want to go with iPage, feel free to choose your own hosting company. Most, if not all of them, should have a “one-click” WordPress install solution on their admin panel.
That button will automatically install WordPress on your blog. Did I say it was simple or what?
All you need to do is sign up with iPage (or your chosen provider), choose your hosting plan and a domain name and look for the one-click WordPress install button on the admin panel.
WordPress essentials aren’t often needed, but I’d recommend whois privacy (that will keep all your personal details private) and definitely automated backups (this’ll save your website just in case anything fails or disappears, so you won’t lose any or very little of your blog).
I have a more in-depth tutorial on building a blog with iPage here.


Once WordPress is installed on your website, all you have to do to start blogging is go to your WP-Admin page usuallywww.yourblognamehere.com/wp-admin and start writing by adding a new post.
At the start, the layout looks confusing, but it gets very understandable quickly. Don’t worry!

Step 4 – Designing your WordPress blog

Now, the fun bit.
Let’s make your blog look exactly how you want it to. To choose a new theme, you can either head to Appearance > Themes and install a free WordPress theme or you can head to a premium theme website likeThemeForest.net and buy a theme for around $40.
I usually choose something that looks professional and pretty easy to customise. WordPress also has this awesome feature that allows you to change themes with just a few clicks. So if you start getting tired of your current blog template, you can just switch to another one without losing any precious content or images.
choose-blog-theme
Remember, your blog’s design should reflect both you and your personality, but also what the blog is about. There’s no point having a football-orientated theme if your blog is about tennis, understand?
On top of that, it should be easy to navigate if you want people to stick around. If it’s tricky and difficult to move around it, people won’t stay. Design is a subjective art; meaning everyone likes different things.
But no one likes ugly websites, and they especially hate websites that need a university degree to navigate. Make it easy for them.
For more reading, I’ve put together 3 blog posts about designing your blog. Feel free to check them through.
Last step! Woo!

Step 5 – Useful Resources For Beginner Bloggers

Bloggers come to blogging arena with varying degrees of online and social media experience, but we’ve all made more than a few newbie mistakes – there’s always room for more learning and improvement, whether you’re a beginner or you’ve been blogging for years.
These articles may help you avoid some of the growing pains when it comes to your first blog – enjoy!:
And that’s it! I’m more than confident that your initial blog set up should now be finished and ready to go, and all that should have been really damn easy (unlike my first time, lucky you!). If you are having any problems installing WordPress on iPage then this guide may help.
If by some unfortunate circumstance you get stuck or have any questions for me about how to create a blog, just get in touch with meor leave a comment below. I’ll help you out with any problems.
Enjoy your new blog